Historia ya Kanisa
Kanisa la Waadventista wa Sabato lilianzishwa karne ya 19 likiwa na lengo la kuhubiri Injili, kuandaa watu kwa kurudi kwa Yesu Kristo, na kuishi maisha ya utii kwa Neno la Mungu.
Imani Yetu
- Biblia kama msingi wa imani
- Yesu Kristo kama Mwokozi
- Kushika Sabato siku ya saba
- Maisha ya utii na huduma
- Kurudi kwa Yesu Kristo